Loading the player...


INFO:
Shabiki wa Simba SC @mandala_simba amewaombea msamaha baadhi ya Mashabiki wa Simba ambao walimtukana na kumlaumu Refa Arajiga kisa kupata sare dhidi ya Azam FC. Tazama mahojiano haya kwa urefu zaidi kwenye YouTube channel ya Scope Media